Maradhi na njaa ni matokeo ya vita Yemen

Your browser doesn’t support HTML5

Vita nchini Yemen vimesababisha maafa makubwa kuliko ripoti za vifo ambavyo vinatokana na mashambulizi ya kijeshi pamoja na jaa na maradhi yaliosababishwa na vita.