Azma ya Naibu wa Rais William Ruto kuwania urais 2022 zaleta hisia mseto

Your browser doesn’t support HTML5

Hisia mseto zimeanza kujitokeza kwa baadhi ya Wakenya kuhusu Naibu wa Rais William Ruto kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi ujao.