Waziri wa zamani wa Israel kwenda jela miaka 11

Your browser doesn’t support HTML5

Wiraza ya sheria ya Israel imesema waziri wa zamani aliyeshitakiwa kutoa ripoti za kijasusi kwa Iran amefikia makubaliano na waendesha mashtaka na huenda akaenda jela miaka 11.