Kenya kuimarisha utalii katika mji Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya miaka kadhaa kwa utalii kudorora katika mji wa Mombasa kutokana na shutuma za ugaidi, sasa mambo yameanza kubadilika kwa kuboresha fani ya utalii katika mji huo mkongwe na maafuru kwa kivutio kikubwa cha utalii nchini Kenya.