Siku ya 17 tangu baadhi ya idara ya serikali kuu ya Marekani kufungwa

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya mazungumzo kuendelea baina ya vyama vikuu vya siasa, baadhi ya idara ya serikali kuu bado zimefungwa. Haijulikani lini shughuli za serikali zitafunguliwa, mvutano mkali unaendelea baina na ya ofisi ya rais na upande wa upinzani.