Chama tawala na wapinzani wajitangazia ushindi DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Wapinzani waliowakilishwa na Martin Fayulu na Felix Tshisekedi na mgombea wa chama tawala Emmanuel Ramazani Shadary wote wamedai kushinda katika uchaguzi uliofanyika mwisho wa mwaka jana.