Trump akemea majenerali wa Afghanistan kwa kushindwa kumaliza vita

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump amewakemea majenerali wa vikosi vya marekani vilivyoko Afghanistan kwa kushindwa kumaliza vita iliyodumu kwa muda mrefu tangu walipoingia nchini humo miaka 19 iliyopita.