Bunge jipya la Marekani laja na sura mpya

Your browser doesn’t support HTML5

Bunge la 116 la Marekani limekuwa la kwanza la kuwa na mchanganyiko wa wabunge wenye asili tofauti, na kuvunja rekodi kwa kuwa na wabunge wengi wanawake.