Baadhi ya wakulima wa korosho hawajalipwa mafao yao Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya wakulima nchini Tanzania wanaendelea kulalamika serikali, kwa kutopata mafao yao ya kilimo cha korosho.