Magari yagongana uso kwa uso na kuuwa Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Magari mawili makubwa ya mizigo yamegongana katika jimbo la Florida na kusababisha vifo vya watu saba.