Licha ya hofu ya mgomo shule zafunguliwa Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya kutangazwa kwa mgomo wa walimu pindi shule zitakapofunguliwa leo, walimu wamendelea na kazi kama ilivyoratibiwa.