Kaimu waziri wa ulinzi Marekani aanza kazi

Your browser doesn’t support HTML5

Patrick Shanahan ameanza kazi ya kukaimu nafasi ya waziri wa ulinzi iliochwa wazi na Jim Mattis aliyekiuzuru ghafla kutokana na kutokubaliana na rais Ronald Trump