Wapinzania Tanzania wapinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa
Your browser doesn’t support HTML5
Umoja wa wapinzania Tanzania wamefungua kesi mahakamani kupinga muswada wa sheria wa vyama vya siasa wakiomba mahakama hiyo kuzuia muswaada, huo ambao unatarajiwa kujadiliwa kwenye bunge la baadaye mwezi huu.