Wabunge wapya waapishwa Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wapya wa baraza la Seneti na wawakilishi waapishwa , na kugawanya matawi ya serikali baina ya chama tawala na wapinzani, wakati ofisi ya rais na baraza la seneti vitaongozwa na chama tawala wapinzani wataongoza baraza la wawakilishi.