Wanaharakati waelezea mauwaji ya kiholela - Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Mwaka 2018 ulikuwa mwaka wa maandamano, na wanaharakati kupambana na masuala ya mauwaji ya kiholela, ufisadi na usalama nchini Kenya.