Rais Trump alezea msimamo wake wa kuondoka Sryia

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump, atetea mipango yake ya kuondoka wanajeshi wa Marekani Syria na kusema jeshi litaondoka taratibu kinyume na kauli ya awali iliyokuwa akitaka waandoka haraka.