Matokeo ya uchaguzi yasubiriwa kwa hamu DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa DRC wanaendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi baada ya kupiga kura jumapili , licha ya kuwepo na ghasia za hapa na pale wakati wananchi wakisubiri matokeo , yanayotarajiwa kutangazwa Januari 6 mwaka huu.