Nigeria kupambana na ruswa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema nchi yake inapambana vyema katika kukomesha rushwa ingawa bado kuna changamoto jinsi ya mapambano hayo.