Rais mwenye mrengo wa kulia aapiswa Brazil
Your browser doesn’t support HTML5
Brazil imeingia kwenye enzi mpya ya kihistoria leo, baada ya kumwapisha rais mwenye mrengo wa kulia Jair Bolsonaro ambaye ameahidi kuondoa rushwa nchini humo .
Your browser doesn’t support HTML5