Wacongo wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa kihistoria

Emmanuel Ramazani Shadary, mgombea kiti cha rais kwa niuaba ya muungano unaotawala akipiga kura yake mjini Kinshasa. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Dec. 30, 2018.

Wapiga kura na mashahidi wakizubiri kufunguliwa kwa kituo cha kupiga kura cha Katendere, mjini  Goma, Dec. 30, 2018.

Rais Joseph Kabila awasili katika kituo cha kupiga kura kupiga kura yake

Martin Fayulu, mgombea mmoja wa upinzani wa kiti cha rais wa mungano wa Lamuka akipiga kura yake mjini Kinshasa, DRC, Dec. 30, 2018.

Kituo kimoja cha kupiga kura KInshasa kimefurika kwa maji

Wafanyakazi wa tume huru ya uchaguzi (CENI) wakiwasilisha mashini na bidhaa za kupiga kura katika kituo kimoja mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Dec. 27, 2018.

Des employés de la Commission électorale nationale indépendante (CENI) déchargent un camion de matériel de vote dans un bureau de vote alors qu'il était gardé par la police à Bukavu, le 28 décembre 2018.

Mtumishi wa CENI akichapisha cheti cha kupiga kura kabla ya kituo kufunguliwa mjini Kinshasa, DRC, Dec. 30, 2018.

Mfanyakazi wa tume ya uchaguzi CENI akijaribu kuona ikiwa mashini ya upigaji kura inafanyakazi kabla ya kuanza zowezi ya upigaji kura.