Vurungu zaanza DRC baada ya baadhi ya uchaguzi kusongezwa mbele kwa baadhi ya majimbo
Your browser doesn’t support HTML5
Nia ya serikali ya kusogeza mbele uchaguzi kwa baadhi ya majimbo kutokana na ugonjwa wa Ebola na usalama , haukupokelewa vyema na wananchi ambao wameanza kuandamana na kupinga uamuzi huo.