Meli inayobeba wahamiaji imetia nanga Spain

Your browser doesn’t support HTML5

Taasisi ya Proactiva Open Arms inayomiliki meli ya Open Arms imesema wahamiji wakiwamo wanawake na wajawazito ambao wametokaea barani Afrika wamewasili katika bandari ya Crinavis.