Zulia Jekundu Episode 204

Your browser doesn’t support HTML5

Nyimbo zilizotamba zamani na mpya zilizotamba kipindi cha sikuu ya krismasi.Mbilo za Santa zilizochangia kutoa msaada kwa ugonjwa wa saratani nchini Spain. Zawadi zilizopokelewa na mastaa katika sikukuu ya krismasi.