Wahamiaji 33 waokolewa baada ya kukaa siku tano baharini

Your browser doesn’t support HTML5

Taasisi isiyo ya kiserikali ya Sew Watch, imefanikiwa kuwaokoa wahamiaji 33, wakati nchi za ulaya zimegoma kufungua bandari zao kwa wahamiaji hao.