Trump afanya ziara ya ghafla Iraq

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Dolnald Trump amefanya ziara ya ghafla kuwatakia wanajeshi kheri ya sikukuu, katika vituo vya Iraq na Ujerumani .