Duniani Leo December 27, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump amerudi mjini Washington baada ya kufanya ziara ya ghafla nchini Iraq huku akiwa bado anakabiliwa na mzozo wa bajeti ya serikali. Maandamano katika maeneo ya Butembo, Beni, Goma na Bunia , Congo kupinga hatua ya tume ya uchaguzi kubadilisha tarehe ya uchaguzi