Tani kadhaa za bidhaa zilizopita muda zakamatwa Libya

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa usalama wa Libya wamekamata tani kadhaa za bidhaa zilizopita muda wa matumizi. Bidhaa hizo nyingi zilitoka nchi za jirani pamoja na China