Mtoto mwingine afariki duniani kwenye kambi ya wahamiaji New Mexico
Your browser doesn’t support HTML5
Maafisa wanasema mtoto wa pili amekufa baada ya kuzuiliwa na walinzi wa mpaka wa Marekani na Mexico, na kuzua mjadala kuhusu sera ya rais Donald Trump