Meli ya kitalii yatia nanga Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Sekta ya utalii imeimarika kipindi hichi cha sikukuu, baada ya meli kitalii kutia nanga katika bandari ya Mombasa alfajiri ya jumatatu.