Sherehe za Krismasi mkoani Kilimanjaro

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wa mikoa mbalimbali wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro hutekeleza mila na desturi zao , za kusherehekea sikukuu ya Krismas kwa kurejea mkoani Kilimanjaro na kujumuika na familia na jamaaa kumaliza mwaka pamoja.