Uhaba wa maji safi wajitokeza baada ya sunami

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyakazi wa kutoa msaada nchini Indonesia, wameonya kwamba kuna uhaba wa maji masafi na madawa kwa maelfu ya waathiriwa wa Tsunami .