Sisi ni Wacongo sehemu ya kwanza

Your browser doesn’t support HTML5

Katika makala ya sisi ni wacongo ambapo VOA inazungumza na watu mbali mbali nchini DRC kujua hisia zako kuhusu uchaguzi na nchi yao, hapa tunakutana na Joe Enua Mata msanii wa michoro kutoka Kinshasa.