Walimu kuendelea na mgomo nchini Zimbabwe

Your browser doesn’t support HTML5

Walimu wanaofanya mgomo nchini Zimbabwe wamesema wateendelea na mgomo huo hadi pale rais wa nchi hiyo Emerson Mnangagwa atakapokubali kuwalipa mafao yao.