Zulia Jekundu Epesode 204

Your browser doesn’t support HTML5

OffSet amtaka radhi mzazi mwenzie Cardi B, katika onyesho la muziki katika mjini LA hata hivyo Card B hakuonyesha hisia zozote kwa mzazi mwenzie. Kenye na Drake waendeleza ugomvi wao kwenye mitandao.