Rais Trump kusema kwamba ISIS wameshindwa
Your browser doesn’t support HTML5
Wabunge wa Marekani wameshangazwa na kukasirishwsa na uwamuzi wa Rais Donald Trump kutangaza kwamba wapiganaji wa kislamu wenye itikadi kali wa Islamic State wameshindwa na hivyo kubadili sera za Marekani kuelekea Syria