COSCO huenda ikapata sura mpya

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya usafirishaji wa majini inayomilikiwa kwa ubia na nchi za Tanzani na China huenda ikapata sura mpya baada ya hii leo serikali nchini humo kutangaza nia yake ya kuboresha kampuni hiyo ikiwemo kuanza safari ya kwenda Dar es salaam.