Bunge la Afrika Mashariki halina pesa za kujiendesha

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wa Afrika Mashariki wamesema kuwa, kutolipwa kwa ada za uendeshaji wa muungano huo unapelekea muungano huo kutegemea fedha za misaada ili kuweza kufanya kazi zake.