Uchaguzi wafanyika Madagascar leo

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi wa duru ya pili wa Madagascar umefanyika leo ambako raia wa nchi hiyo watapata nafasi ya kumchagua kiongozi atakayeongoza kisiwa hicho kikubwa barani Afrika kwa miaka mitano ijayo.