Duniani Leo December 19, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi wa duru ya pili wa kumchagua rais wa Madagascar unafanyika leo , wagombea wote wa pande mbili wana imani ya kushinda uchaguzi huo. Burundi imesema kuwa wananchi wanaotaka kurejea nchini humo wasiwe na wasiwasi kuwa nchi hiyo ina amani na usalama .