Wavuvi wakiwezeshwa wanaweza kukithi mahitahi ya walaji Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Wavuvi nchini Tanzania wemesema kuwa wakiwezeshwa kwa kupewa miundo mbinu ya kisasa watakuwa na uwezo wa kushindana na masoko ya samaki zinazoangizwa kutoka nje ya Tanzania.