Kenya yapinga kuwanyanyasa wanaharakati wa mazingira

Your browser doesn’t support HTML5

Kauli ya wanaharakati wa mazingira wa Lamu imepingwa vikali na serikali ya Kenya. Serikali imesema kauli hiyo inapotosha ukweli na kusema wakazi wa Lamu wanahusishwa katika miradi inayofanyika katika jimbo hilo.