Miaka ya 40 ya mageuzi ya uchumi wa China

Your browser doesn’t support HTML5

China wameadhimisha miaka 40 ya mageuzi ya uchumi kwa rais wa nchi hiyo kuhutubia ka takriban saa moja na kuelezea malengo na mipango endelezi ya nchi hiyo.