Wakulima Kenya wameanza kutumia nishati ya biogas

Your browser doesn’t support HTML5

Ukataji wa miti ilikutumika kama kuni na gharama ya juu ya mafuta ya gesi inayotumika Mashinani huenda sasa ikakosa umuhimu kwa watu wanaoishi mashambani, kwani wengi wao ambao ni wakulima wameanza kutumia nishati ya biogas inayotokana na kinyesi cha wanyama