Wasiwasi umezuka DRC baada ghala la tume ya uchaguzi kuungua moto
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati Drc ikijiandaa na uchaguzi mkuu desemba 23 , wasiwasi umezuka nchini humo ikiwa kama uchaguzi utafanyika au la, baada ya ghala la tume ya uchaguzi ya kuhifadhia vifaa vya uchaguzi kuungua moto.