Mahakama nchini Canada yampa dhamana Meng Wanzhou

Your browser doesn’t support HTML5

Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano ya China ya Huawei Meng Wanzhou anayetakiwa na marekani kujibu mashtaka ya kukiuka vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.