Wapiga kura DRC waotahadharishwa na mripuko wa Ebola

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati zimebakia wiki tatu kufikia siku ya uchaguzi nchini Congo, wananchi wametahadharishwa kuwa makini na milipuko ya ugonjwa wa Ebola.