Dr. Denish Mukwege apokea tuzo yake

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya kupokea tuzo Nobel , Dr. Mukwege amelizunguza na VOA na kusema anawasiwasi wa vurugu kama uchaguzi wa Congo hautokuwa wa haki na salama.