Utata wa Brexit bado waendelea Uingereza

Your browser doesn’t support HTML5

Utata wa kujitoa Uingereza katika jumuia ya ulaya bado unaendelea wakati Theresa May akitafuta njia muafaka itakayoridhisha wabunge na wananchi kuendelea kugonga mwamba.