Wanawake Kenya wapingana na dhuluma za kijinsia

Your browser doesn’t support HTML5

Visa vya wanawake kudhulumiwa kijinsia vyaendelea licha ya vikundi vya wanaharakati kujaribu kupambana na matatizo hayo.