Wakimbizi kutoka Guinea Bissau waanza kupewa vitambulisho

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya kuishi miaka mingi katika hali ya mashaka, wakimbizi wa Senegal walio Guinea Bissau, wameanza kupewa vitambulisho.